Skip to main content

Simulizi ya manusura anayetumia kipaji cha muziki kupinga ndoa za utotoni

Simulizi ya manusura anayetumia kipaji cha muziki kupinga ndoa za utotoni

Ni muziki na ujumbe! Ujumbe unaogusa jamii nzima kuhusika katika vita dhidi ya ndoa za utotoni.

Sikiliza simulizi ya kigori mzaliwa wa Afghanistan aliyeamua kuingia katika harakati dhidi ya ndoa za utotoni akidhaminiwa na beni ya dunia. Amina Hassan anakujuza vyema katika makala ifuatayo.