Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IFAD na wadau warejesha matumaini ya kiafya Msumbiji

IFAD na wadau warejesha matumaini ya kiafya Msumbiji

‘‘Nilijua nakufa” Ni kauli ya kukatisha tamaa ya kigori Alima Artur kuoka Msumbiji, ambaye alipata maambukizi ya virusi ya Ukimwi na kupoteza matumaini.

Sasa Alima ana tumaini jipya. Nini kimetokea? Ungana na Grace Kaneiya katiaka makala itakayokufafanulia kinagaubaga.