Skip to main content

Haki ya kukusanyika inabagua makundi fulani Marekani: Kiai

Haki ya kukusanyika inabagua makundi fulani Marekani: Kiai

Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya uhuru wa kukusanyika kwa amani Bwana Maina Kiai ambaye amekuwa ziarani nchini Marekani kwa takribani majuma mawili kutathimini utekelezwaji wa haki hiyo, amesema  licha ya kwamba haki  hizo zinafurahiwa matumizi ya guvu ya ziada bado ni tatizo.

Katika mahojiano na idhaa hii Bwana Maina amesema hata hivyo mamlaka za usalama zinaonyesha ubaguzi wa wazi kwa makundi kadhaa ndani ya taifa hilo.

(SAUTI MAINA)

Hatimaye akashauri nini kifanyike.

( SAUTI MAINA)