Wanawake wajikwamua kiuchumi Goma, DRC
Licha ya kukumbwa na janga la kulipuka kwa volcano zaidi ya miaka kumi iliyopita wananchi wa Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC hususani wanawake wametumia janga hilo kama fusra ya kujiingizia kipato.
Kulikoni? Ungana na Grace Kaneiya katika makala ifutayo ikimulika jitihada za kundi hilo kujikwamua kiuchumi.