Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Zaidi ya wakimbizi 26,000 wa Sudan Kusini waingia Uganda:UNHCR

Zaidi ya wakimbizi 26,000 wa Sudan Kusini waingia Uganda:UNHCR

Maelfu ya watu wanaendelea kufaungasha virago na kukimbia hali ya sintofahamu na mapoigano Sudan Kusini.

Kwa mujibu wa shirika la kuhudumia wakimbizi UNHCR mapigano yaliyozuka Jualai 7 katika ya vikosi vinavyomuunga mkono Rais Salva Kiir na vile vya makamu wa Rais Riek Machar, watu 26,468 wamelazimika kuvuka mpaka na kuingia

Kaskazini mwa Uganda, ikiwa ni pamoja na zaidi ya watu 24,000 katika siku sita zilizizopita.Asilimia 90 ya wakimbizi hao ni wanawake na watoto. Andreas Needham ni msemaji wa UNHCR

(SAUTI YA ANDREAS)