Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Benki ya dunia yafunza wadau Tanzania kuhusu SDGS

Benki ya dunia yafunza wadau Tanzania kuhusu SDGS

Nchini Tanzania benki ya dunia WB, imeendesha mafunzo kuhusu utekelezaji wa malengo ya mendeleo endelevu SDGs ikiwalenga wanahabari, watafiti na wachumi kutoka taasisi mbalimbali.

Stela Vuzo wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa nchini humo amezungumza na washiriki wa mafunzo hayo kubaini yale waliyojifunza na namana watakavyoyatumia. Ungana naye katika mahojinao haya.