Skip to main content

UNCTAD 14 ,yaibua matumaini ya kiuchumi

UNCTAD 14 ,yaibua matumaini ya kiuchumi

Mkutano wa 14 wa kamati ya Umoja wa Mataifa kuhusu biashara na maendeleo UNCTAD 14 umezinduliwa mwishoni mwa juma mjini Nairobi.

Mwakilishi wetu Assumpta Massoi aliyeko mjini Nairobi ameshuhudia uzinduzi huo na kutuandalia makala maalum . Ungana naye.