Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wasichana vigori wanamchango mkubwa katika jamii:Musoti-UNFPA

Wasichana vigori wanamchango mkubwa katika jamii:Musoti-UNFPA

[caption id="attachment_289755" align="alignleft" width="300"]mahojianounfpa

Juma hili shirika la Umoja wa mataifa la idadi ya watu duniani UNFPA limeadhimisha siku ya idadi ya watu duniani , kwa kauli mbiu ya kutoa msukomu wa kuwawezesha wasichana vigori.  Kwa mujibu wa shirika hilo kundi hilo lwa vijana linakabiliwa na changamoto nyingi , na itakuwa vigumu kutimiza ajenda ya mwaka 2030 ya maendeleo endelevu kama litaachwa nyuma.

Ili kuchambua mengi Flora Nducha wa idhaa hii amezungumza na bwana John Musoti mkuu wa masuala ya kimataifa katika shirika hilo anayeaanza kufafanua ni kwa nini wamejikita kwa wasichana vigori mwaka huu

(MAHOJIANO NA JOHN MUSOTI)