Skip to main content

Machafuko yazidisha kadhia kwa wananchi Sudan Kusini

Machafuko yazidisha kadhia kwa wananchi Sudan Kusini

Sudan Kusini! Taifa lililotumbukia katika awamu nyingine ya machafuko na kusababisha kadhia kubwa kwa wananchi.

Zaidi ya 270 wameripotiwa kufariki kufuatia mapigano ya hivi karibuni, maelfu wamejihifadhi kwenye vituo vya usaidizi vya Umoja wa Mataifa, huku wengine wakisaka hifadhi nje ya nchi. Ungana na Grace Kanieya katika Makala inayokusimulia adha za machafuko Sudan Kusini