Skip to main content

Kiswahili ni kioungo muhimu Afrika Mashariki: Nshimirimana

Kiswahili ni kioungo muhimu Afrika Mashariki: Nshimirimana

Wadau wa jumuiya ya Afrika Mashariki wamekutana hivi karibuni mjini Nairobi Kenya, kwa ajili ya kujadili namna ya kukuza lugha ya Kiswahili katika ukanda huo.

Mwandishi wetu wa maziwa makuu Ramadahani Kibuga amehudhuria mkutano huo na kukutana na mhadhiri wa Kiswahili katika vyuo vikuu nchini Burundi Dorotea Nshimirimana na kuzungumza naye kuhusu umuhimu wa lugha hiyo.