Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanyama watishia uvuvi na ufugaji, Uganda

Wanyama watishia uvuvi na ufugaji, Uganda

Licha ya ukweli kwamba wanyama ni rafiki wa binadamu  na hutumiwa kama sehemu ya kitoweo, baadhi yao hususani wanayama pori wamekuwa  kikwazo kwa binadamu kujipatia riziki.

Nchini Uganda tunaelezwa kuwa shughuli za uvuvi na ufugaji zinakwamishwa na wanayama pori. Kulikoni? Ungana an John Kibego.