Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wasichana vigori ni muhimu kuwezeshwa kwa maslahi ya dunia:UNFPA

Wasichana vigori ni muhimu kuwezeshwa kwa maslahi ya dunia:UNFPA

Katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya idadi ya watu duniani, shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu UNFPA limetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuwekeza kwa wasichana vigori.

Shirika hilo linasema kundi hili la wasichana vigori likipewa fursa inayostahili mustakhbali wa dunia utakuwa mujarabu, kwani hivi sasa zaidi ya wasicha vigori milioni 100 wanapitia madhila mengi ikiwemo ndoa za mapema na kukatiza ndoto zao kote duniani.

John Mosoti mkuu wa kitengo cha masuala ya kimataifa UNFPA anaeleza kwanini kauali mbiu yam waka huu imejikita kwa wasichana vigori

(JOHN CUT 1)

Na endapo fursa hiyo itatolewa kwa vigori nini kitatokea

(JOHN CUT 2)