Kampeni ya UNHCR yalenga kutoa makazi kwa wakimbizi wote

Kampeni ya UNHCR yalenga kutoa makazi kwa wakimbizi wote

Shirika la Kuhudumia wakimbizi UNHCR, linaendesha kampeni ya kutoa usaidizi kwa wakimbizi iitwayo, “Hakuna anayeachwa nje”, ili kuwezesha kila mkimbizi kupata makazi.

Mmoja aliyenufaika kutokana na kampeni hiyo, ni Jacqueline, mkimbizi kutoka Burundi, ambaye amekimbilia nchini Tanzania kwa mara ya pili: kwanza akiwa mtoto, na sasa akiwa na mumewe na mwanae.

Kufahamu kuhusu hatma yake, ungana na Joshua Mmali katika makala hii