Skip to main content

Ujumbe katika muziki wakati wa maadhimisho ya kimataifa ya wakimbizi

Ujumbe katika muziki wakati wa maadhimisho ya kimataifa ya wakimbizi

Ushairi, uimbaji na hotuba hutumika kufikia ujumbe kuhusu masuala kadhaa!

Mbinu hii ilitumika katika kufikisha ujumbe wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wakimbizi Juni 20 ambayo nchini Yemen.

Ungana na Joseph Msami katika makala itakayokufikisha katika eneo la tukio kulikojiri harakati za utetezi dhidi ya mamilioni ya wakimbizi.