Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kiswahili kimenifungulia milango kuwa wa kimataifa- Priscilla

Kiswahili kimenifungulia milango kuwa wa kimataifa- Priscilla

Je? wafahamu thamani ya lugha yako au lugha za kigeni?

Mmoja wa watu wanaosadiki hilo, ni mwenzetu Priscilla Lecomte, ambaye amehitimisha majukumu yake hapa idhaa ya Kiswahili ya redio ya Umoja wa Mataifa.

Sasa anaelekea nchini Rwanda kutekeleza majukumu katika ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini humo ambapo amesema lugha ya Kiswahili ndiyo iliyompa upenyo wa kufanya kazi katika ngazi ya kimataifa.

Akihojiwa na idhaa hii katika siku yake ya mwisho hapa makao makuu ya UM mjini New York, Priscilla ambaye ni raia wa Ufaransa anaeleza namna alivyohamasika kujifunza Kiswahili.

( SAUTI PRISCILLA)

Na kisha.

( SAUTI PRISCIILA)

Na huu ni ujumbe wake kwa umma.

( SAUTI PRISCILLA)