Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi 100 nchini Uganda wahamishiwa Marekani

Wakimbizi 100 nchini Uganda wahamishiwa Marekani

Mpango wa kuwahamishia wakimbizi katika mataifa mengine mathalani Marekani unaonekana kunufaisha wakimbizi licha ya kwamba nyumbani ni nyumbani.

Makala ifuatayo iliyoandaliwa na John Kibego kutoka Uganda itakukutanisha na mmoja wa wakimbizi 100 wanaotarajia kuhamia Marekani na kuanza maisha mapya.