Furaha, kujiamini na afya ni sehemu ya faida za yoga

Furaha, kujiamini na afya ni sehemu ya faida za yoga

Yoga sio tu mazoezi, ni zaidi ya hivyo kwani husaidia afya na furaha na huenda mbali zaidi. Hayo ni maneno ya mbobezi wa masuala ya yoga ambaye pamoja na kuelimisha ameongoza mazoezi hayo ya viungo mjini New York.

Priscilla Lecomte amehudhuria kusanyiko hilo na kuandaa makala ifutayo. Ungana naye.