Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watu wenye ualbino waeleza wanavyoteseka

Watu wenye ualbino waeleza wanavyoteseka

Wakati huo huo washiriki wa kongamano hilo  linaloendelea jijini Dar es Salaam nchini Tanzania wameelezea changamoto wanazokumbana nazo na kutaka hatua zichukuliwe.

Miongoni mwao ni Perpetua Senkoro mwenye ualbino ambaye amemweleza Stella Vuzo wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa nchini Tanzania madhila anayekumbana nayo akiwa ni mlemavu wa ngozi na mwanamke.

( SAUTI PEREPETUA)

Kongamano hilo limeelezwa kuibua matumaini kwa watu wenye ulemavu katika kutetea haki zao za kijamii pamoja na ulinzi wa uhai wao.