Skip to main content

Kuna pengo katika miundomsingi kwa ajili ya watu wenye ulemavu: Mbunge-Tanzania

Kuna pengo katika miundomsingi kwa ajili ya watu wenye ulemavu: Mbunge-Tanzania

Mkutano wa watu wenye ulemavu unaendelea kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New  York, Marekani ambapo washiriki kutoka nchi mbali mbali wanakutana kuangalia jinsi ya kujumuisha kundi hilo kwenye utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu, SDGs. Taarifa kamili na Amina Hassan.

(Taarifa ya Amina)

Miongoni mwa washiriki ni Rizik Said Lulida mbunge wa viti maalum kutoka Lindi, Tanzania ambaye ameiambia idhaa hii kwamba jamii inahitaji kuelimishwa kwani….

(Sauti ya Riziki)

Bi. Lulida ambaye yeye pia ni mlemavu wa viungo amesema  miundomsingi inapaswa kukarabatiwa ili kukidhi mahitaji ya watu wenye ulemavu katika sehemu muhimu kwa mfano…

(Sauti ya Riziki)