Skip to main content

Viziwi tumesahaulika katika upashwaji habari- Tungi

Viziwi tumesahaulika katika upashwaji habari- Tungi

Mkutano wa watu wenye ulemavu ukiingia siku ya pili, mwakilishi wa mtandao wa wanawake wenye ulemavu barani Afrika, NAWWD, Tungi Mwanjala amesema viziwi bado wanasalia nyuma katika kupata haki yao ya msingi ya habari.

Akizungumza na Idhaa hii kupitia mkalimani wake Geden Singo, Bi.Mwanjala kutoka Tanzania ambaye mwenyewe ni kiziwi amesema kuna changamoto nyingi ikiwemo..

 (Sauti ya Geden/Tungi-1)

 Amesema maudhui ya mkutano ambayo ni hakuna mtu kuachwa nyuma kuelekea kutekeleza malengo endelevu 2030 ni muafaka na matarajio yake ni kwamba..

 (Sauti Geden/Tungi-2)