Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wamasai kutoka Kenya mbioni kuhifadhi utamaduni wao

Wamasai kutoka Kenya mbioni kuhifadhi utamaduni wao

Utamaduni ni kitambulisho na bila huo hautatambuliwa.  Hii ni hisia miongoni mwa jamii ya Wamaasai nchini Kenya katika harakati za kurekodi, kuhifadhi na kulinda mila na desturi zao ili zisijetoweka.

Kwa kushirikiana na Shirika la Hati Miliki WIPO, jamii hii imeweza kukusanya na kutunza muziki, hadithi na utamaduni mwingine wenye thamani mkubwa kutoka kwa wazee wa Kimaasai, ili kizazi kijacho nacho kinufaike.

Basi tuungane na Amina Hassan katika makala hii..