Skip to main content

Wanawake wapigiwa upatu katika nafasi za kisiasa Tanzania

Wanawake wapigiwa upatu katika nafasi za kisiasa Tanzania

Nchini Tanzania uwezeshaji wa wanawake katika nafasi za uamuzi kufikia hamsini kwa hamsini ni suala linalopigiwa upatu na wadau wa harakati za wanawake.

Jijini Dar es Salama, wanawake wamekutana katika semina ya kuhamasisha  namna ya kusonga mbele. Ungana na Nicholas Ngaiza wa redio washirika Kasibante Fm ya Kagera Tanzania katika makala ifatayo.