Skip to main content

Vikundi vya kuweka na kukopa vya boresha maisha ya wakimbizi Uganda

Vikundi vya kuweka na kukopa vya boresha maisha ya wakimbizi Uganda

Nchini Uganda, mpango wa kuwapatia ardhi wakimbizi kwa ajili ya makazi na kilimo, halikadhalika kufanya kazi na kuendesha biashara ndogo ndogo umewezesha wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kuweza kujikwamua kimaisha.

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limetolea mfano wa Rebecca, ambaye kupitia kikundi cha kuweka na kukopa vijijini, VSLA kilichopo Ramwanga, Magharibi mwa Uganda, ameweza kudunduliza fedha zake na sasa anamiliki duka dogo la kuuza bidhaa kama vile chumvi na vinywaji..

(Sauti ya Rebecca-1)

Na maisha yake sasa yamebadilika kwa kuwa..

(Sauti ya Rebecca-2)