Skip to main content

Uganda yajitutumua kukabiliana na matumizi ya tumbaku

Uganda yajitutumua kukabiliana na matumizi ya tumbaku

Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya kupinga matumizi ya tumbaku Mei 31, nchini Uganda hatua kadhaa za kudhibiti matumizi hayo ikiwamo kupitia mtindo mpya wa uvutaji wa tumbaku kupitia Shisha zimechukuliwa.

Ungana ma John Kibego kutoka nchini humo kwa makala inayomulika sheria ya kudhibiti matumizi ya tumbaku na changamoto zake.