Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Walimu kushindwa kuhamisha ujuzi ni kikwazo cha elimu Tanzania- Utafiti

Walimu kushindwa kuhamisha ujuzi ni kikwazo cha elimu Tanzania- Utafiti

Utafiti uliofadhiliwa na Benki ya Dunia nchini Tanzania umebaini kuwa licha ya kiwango kidogo cha utoro miongoni mwa walimu wa shule ya msingi nchini humo, bado muda unaotumika kufundishia wanafunzi ni pungufu.

Mkurugenzi wa Utafiti REPOA ambao waliendesha utafiti huo, Dkt. Lucas Katera akihojiwa na idhaa hii amesema walimu wanakuwepo shuleni lakini hawapo madarasani na zaidi ya hayo....

(Sauti Dkt. Katera) 4’11”

Dkt Katera akaelezea jambo lililowashtua zaidi..

(Sauti ya Dkt. Katera) 8’01”

Miongoni mwa mapendekezo waliyotoa ni kuimarisha ukaguzi na walimu kupatiwa mafunzo kazini ili kunoa stadi zao.