Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Walinda amani na jukumu la mafunzo kwa polisi

Walinda amani na jukumu la mafunzo kwa polisi

Mafunzo ya kuwawezesha polisi kufikia viwango vya kimataifa ni miongoni mwa majukumu yanayofanywa na walinda amani katika maeneo yenye mizozo.

Akihojiwa na mkuu wa rediao ya ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika nchini Sudan UNAMID, mlinda amani ambaye ni polisi jamii Zeinab Mcheka kutoka Tanzania, anaeleza kuwa mafunzo hayo yanajumuisha.

(SAUTI ZEINAB)

Siku ya kimataifa ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa huadhimishwa kila Mei 29.