Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake na jukumu la kulinda amani

Wanawake na jukumu la kulinda amani

Kulekea siku ya kimatifa ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa ambayo huadhimishwa Mei 29 kila mwaka, mchango wa wanawake katika jukumu hilo unamulikwa mathalani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC.

Ungana na Priscilla Lecomte katika makala inayomulika mlinda amani mwanamke kutoka Romania anayelinda amani nchini DRC.