Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kiswahili chasaidia harakati dhidi ya waasi DRC- Meja Kahoko

Kiswahili chasaidia harakati dhidi ya waasi DRC- Meja Kahoko

Kuelekea Siku ya Umoja wa Mataifa ya Walinda Amani, huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC imeelezwa kuwa lugha ya Kiswahili inasaidia katika harakati za kusambaratisha waasi na ulinzi wa amani. Amina Hassan na ripoti kamili.

(Taarifa ya Amina)

Meja Francis Kahoko ambaye ni Naibu Afisa usalama wa FIB ambacho ni kikosi cha kujibu mashambulizi cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC, MONUSCO ameiambia idhaa hii kuwa majukumu yake ya kiintelijensia yanakuwa rahisi kwa kuwa..

(Meja Kahoko-1)

Akaenda mbali kuelezea udhibiti wa waasi wa ADF eneo la Beni, jimbo la Kivu Kaskazini.

(Meja Kahoko-2)