Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR, wadau wasaidia wahamiaji wa Burundi waliorejeshwa kutoka Rwanda

UNHCR, wadau wasaidia wahamiaji wa Burundi waliorejeshwa kutoka Rwanda

Shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR nchini Burundi linawasaidia raia wa Burundi takribani 1800 waliorejeshwa kutoka Rwanda kutokana na kuishi bila vibali.

Katika mahojiano maalum na idhaa hii, Mwakilishi mkazi wa UNHCR nchini Burundi Abel Mbilinyi amesema baada ya tathimini, shirika hilo limebaini kuwa wengi wa wahamiaji hao walikuwa wakiishi katika vijiji vya mpakani na Burundi na walitaarifiwa na serikali ya Rwanda ikiwa wanataka kuishi kihalali walipaswa kuishi katika kambi za wakimbizi au kujiandikisha kama wakimbizi.

Hata hivyo Mbilinyi anasema kile wanachofanya kwa kushirikiana na wadau wakiwamo serikali ya Burundi.

(SAUTI MBILINYI)