Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Baraza kuu kivuli nchini Tanzania laanza vikao

Baraza kuu kivuli nchini Tanzania laanza vikao

Baraza Kuu Kivuli la Umoja wa Mataifa nchini Tanzania linalowahusisha vijana limeanza kukutana leo mjini Arusha likiongozwa na kauli mbiu, wajibu wa vijana katika utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu SDGs.

Wakitoa maoni yao baada ya kushiriki siku ya kwanza vijana wamemweleza Stella Vuzo wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kuwa baraza hilo linawasaidia kujitambua katika masuala kadhaa yakiwamo afya na elimu na kuyahusisha na utekelezaji wa SDGs.

Maria Chaula ni miongoni mwao.

(SAUTI MARIA)