Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ufundi cherehani waweza kukomboa jamii katika umasikini

Ufundi cherehani waweza kukomboa jamii katika umasikini

Wakati malengo ya maendeleo endelevu SDGs yakiwa yameanza kutekelezwa katika ngazi ya nchi na kisha wanajamii, nchini Uganda mwandishi wetu anatueleza namna ufundi mathalani cherehani ulivyoweza kukabiliana na lengo namba moja la kuondoa umasikini.

Ungana na John Kibego katika makala itakayokudadavulia namna mwanaume mmoja nchini humo anavyojipatia kipato na kjiwezesha kiuchumi kupitai ujuzi huo.