Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNAMID na washirika wanusuru maisha ya wakimbizi Sortoni

UNAMID na washirika wanusuru maisha ya wakimbizi Sortoni

Baada ya ziara ya ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika UNAMID  kwenye eneo la UNAMID la Sortoni katikati mwa Darfur kutathimini mahitaji kwa wakimbizi katika eneo hilo,ujumbe huo umesema umechukua hatua za usaidizi.

Katika mahojiano na idhaa hii mkuu wa redio ya UNAMID Jumbe Omari Jumbe,  ambaye ameambatana na ujumbe huo huko Sortoni anasema kile kinachofanywa ili kunusuru hali ya kibinadamu kwa wakimbizi hao.

( SAUTI JUMBE)

Amesisitiza kuwa suluhu kwa madhila hayo ni.

( SAUTI JUMBE)