Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tumepiga hatua katika haki za wananchi licha ya changamoto kadhaa: Mero

Tumepiga hatua katika haki za wananchi licha ya changamoto kadhaa: Mero

Serikali imepiga hatua katika kutimiza haki kwa wananchi kama afya na elimu. Ni kauli ya mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika ofisi Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi Balozi Modest Mero wakati akifafanua kuhusu ripoti ya miaka minne ya haki za binadamu ya taifa hilo la Afrika Mashariki.

Katika mahojiano na Joseph Msami baada ya uwasilishwaji wa ripoti hiyo, Balozi Mero ameanza kufafanua nini hasa maana ya ripoti hiyo.