Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tanzania yawasilisha ripoti ya haki za binadamu Geneva

Tanzania yawasilisha ripoti ya haki za binadamu Geneva

Tanzania imewasilisha leo ripoti yake ya miaka minne ya  utekelezaji wa haki za binadamu kwa Umoja wa Mataifa mjini Geneva nchini Uswisi, ambapo imeeleza kupiga hatua katika maeneo kadhaa ikiwamo elimu.

Katika mahojiano maaluma na idhaa hii, mwakilishi wa kudumu wa nchi hiyo katika ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva, balozi Modest Mero amesema licha ya changamoto kadhaa za ukosefu wa fedha mafanikio ni.

( SAUTI MERO)

Kuhusu mjadala wa kuminya haki ya mawasiliano kufuatia kupitishwa sheria ya mtandao nchini Tanzania balozi Mero amesema.

( SAUTIO MERO)