Skip to main content

Kongamano la vijana wa Afrika kuhusu urithi wa dunia laendelea Afrika Kusini

Kongamano la vijana wa Afrika kuhusu urithi wa dunia laendelea Afrika Kusini

Nchini Afrika Kusini, mkutano ulioandaliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO unaendelea ambapo vijana wamezungumzia kila ambacho wanajifunza kutokana na kongamano hilo.

Lengo ni kushirikisha vijana katika kulinda maeneo ya urithi wa dunia barani Afrika ambapo Njeri Mbure kutoka Kenya amezungumza na idhaa hii na kuelezea kile ambacho wanajifunza…

(Sauti ya Njeri)