Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mabadiliko ya tabianchi barani Asia, hatua zachukuliwa.

Mabadiliko ya tabianchi barani Asia, hatua zachukuliwa.

Takribani wiki moja baada ya kusainiwa kwa mkataba wa Paris wa mabadiliko ya tabianchi mjini New York, Marekani  madhara ya suala hilo barani Asia ni dhahiri lakini jumuiya ya kimataifa inahaha kunusuru wakulima na uhakika wa chakula barani humo. Ungana na Joseph Msami katika makala itakayokupeleka kueneo hilo ili kupata taswira ya madhara na hatua zinazochukuliwa nchini Cambodia.