Ujio wa Machar Juba na nuru ya amani Sudan Kusini

27 Aprili 2016

Nchini Sudan Kusini nuru ya amani imeanza kuchomoza, kufuatia hatua inayolezwa kuwa ya kihistoria ya kurejea mjini Juba kwa makamu wa kwanza wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar. Ungana na Joseph Msami katika makala inayokusimulia kinagaubaga matumaini yaliyogubika mji mkuu wa nchi hiyo,  Juba, baada ya kuwasili kwa kiongozi huyo.

 

♦ Kurambaza ukurasa mahsusi wa Siku ya Kiswahili Duniani bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter