Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana wakisaidiwa na wakaishi kwa amani, tutaepusha vita

Vijana wakisaidiwa na wakaishi kwa amani, tutaepusha vita

Njia moja ya kuzuia na kumaliza vita ni kuwezesha vijana kiuchumi na kuwakutanisha ili wakazungumzie mustakhbali wao.

Kauli hiyo imetolewa na Lawrence Dieto kutoka Kenya ambaye ni mmoja wa wawakilishi wa vijana katika Kongamano la Muungano wa Ustaarabu (UNOAC), ambalo limehitimishwa leo mjini Baku, Azerbaijan.

Kongamano hilo linaangazia jinsi watu wanavyoweza kuishi pamoja kwa amani, na kuepusha uenezaji wa itikadi kali.

Katika mahojiano na Redio ya Umoja wa Mataifa, Lawrence amesema

(Sauti ya Lawrence)