Skip to main content

Ahadi zitasukuma utekelezaji mikakati dhidi ya tabianchi: Kenya

Ahadi zitasukuma utekelezaji mikakati dhidi ya tabianchi: Kenya

Baada ya nchi 175 ikiwemo Kenya kutia saini mkataba wa Paris wa mabadiliko ya tabianchi, Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Amina Mohamed amesema baada ya bunge kupitisha sheria ya kuridhiwa mkataba, wataanza utekelezaji kulingana na mikakati.

Katika mahojiano na idhaa hii baada ya kusaini mkataba huo, Bi Mohamed amesema mikakati ya kukabiliana na madiliko ya tabianchi itategemea.

(SAUTI AMINA).

Kadhalika amezungumzia umuhimu wa kuwekwa saini mkataba huo katika mustakabali wa tabianchi.

(SAUTI AMINA).