Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Balozi Manongi azungumzia hatua baada ya kutia saini

Balozi Manongi azungumzia hatua baada ya kutia saini

Katika utiaji saini mkataba wa Paris hii leo, Tanzania inawakilishwa na Balozi Tuvako Manongi, ambaye ni mwakilishi wake wa kudumu hapa kwenye Umoja wa Mataifa, New York, Marekani.

Akihojiwa na Redio ya Umoja wa Mataifa Balozi Manongi ameelezea kinachofuatia baada ya mkataba kutiwa saini..

(Sauti ya Balozi Manongi)