UNGASS yaendelea Tanzania na kile inachojifunza

UNGASS yaendelea Tanzania na kile inachojifunza

Kikao maalum cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu tatizo la dawa za kulevya duniani UNGASS kikiendelea hapa makao makuu, wadau mbali mbali wanaendelea kutafakari na kuweka mikakati dhidi ya tatizo hili.

Nchini Tanzania tatizo la dawa za kulevya linapewa kipaumbele na hapa mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini New York Balozi Tuvako Manongi anatueleza mikakati iliyowekwa…

(Sauti Manongi)

Na je katika mkutano huu wanajifunza nini?

(Sauti Manongi 2)