Nitaendelea kutumbuiza maeneo ya wazi kuunganika na mashabiki- Fantastic
Muziki ni sanaa ambayo inatumika kuelezea hisia za mtu au hata kudhihirisha kile anachoamini ikiwemo utamaduni wake. Fantastic Negrito ni miongoni mwa wanamuziki nchini Marekani ambaye anajitambua na baada ya misukosuko ameamua kutumia kipaji chake na wasanii wenzake kueneza utamaduni wa mtu mweusi.
Katika makala hii iliyowezeshwa na Benki ya dunia kupitia mradi wake wa muziki kwa maendeleo, Assumpta Massoi anaangalia kile ambacho Fantastic anafanya..