Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ukiharibu misitu utakabiliana na sokwe

Ukiharibu misitu utakabiliana na sokwe

Uharibifu wa misitu nchini Uganda umezidisha mzozo baina ya wanadamu na wanyamapori mathlani kisa cha kijana aliyekabiliana na sokwe uso kwa uso.

Ungana na John Kibego katika makala inayosimulia kisa hiki kilichojaa hisia.