Skip to main content

Elimu kwa jamii ni muhimu kutambua tatizo la usonji Tanzania

Elimu kwa jamii ni muhimu kutambua tatizo la usonji Tanzania

Usonji ni tatizo ambalo linakumba jamii nyingi lakini katika nchi zinazoendelea kuna changamoto nyingi hususani kwa familia zenye watoto wenye usionji, ikiwemo kutokuwepo kwa elimu ya kutosha kwa jamii kuelewa tatizo hilo,lakini pia unyanyapaa. Flora Nducha amezungumza na mzazi Pamela Hurbet Mtena kutoka Tanzania kuhusu usonji na changamoto zake ambaye anaanza kusimulia alivyobaini mwanae Margaret ana usonji

(MAHOJIANO NA PAMELA HURBET MTENA)