Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ni muhimu watoto wenye usonji wajumuishwe katika jamii:Dkt. Maina

Ni muhimu watoto wenye usonji wajumuishwe katika jamii:Dkt. Maina

Watoto Laki Nane wanatajwa kuwa na tatizo la usonji nchini Kenya hii ikiwa ni makadirio ya Shirika linalohusika na masuala ya usonji nchini huko la Austism Society of Kenya.

Hata hivyo idadi hiyo inaweza kuwa juu zaidi kwa ajili ya uelewa mdogo wa tatizo la usonji na jamii, amesema Dkt. John Maina ambaye ni mkuu wa programu ya utafiti katika shule ya kimataifa ya Boston Higashi ilioko Boston, Marekani.

Dkt. Maina ameiambia idhaa hii kuwa licha ya hivyo idadi hii ni kubwa na hivyo ni lazima mikakati iwekwe ili kuwasaidia watoto hao hivyo akatoa ushauri

(Sauti ya Dkt. Maina)