Uhaba wa maji na juhudi za upatikanaji wake Tanzania
Dunia ikiwa imedhimisha siku ya maji hivi karibuni, huduma hiyo imekuwa haba kwa baadhi ya maeneo mathalani mkoani Mbeya nchini Tanzania ambapo wananchi wanalalama kutokana na ukosefu wa maji.
Ungana na Ahazi Minga, wa radio washirika Kyela FM kutoka Mbeya Tanzania anayesimulia katika makala ifiuatayo.