Skip to main content

Ubakaji wajadiliwa CSW60

Ubakaji wajadiliwa CSW60

Ubakaji na athari zake hususani maeneo yenye vita umechukua nafasi katika mkutano wa 60 wa kamisheni ya hali ya wanawake CSW60 unaoendelea mjini New York ambapo mwakilishi wa shirika la wanawake linalohusika masuala ya kuendeleza afya FEPS kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC, Maria Doroloza amehutubia moja ya mkutano wa ndani kuhusu mada hiyo.

Bi Doroloza ameiambia idhaa hii katika mahojiano maalum kandoni mwa mkutano huo kuwa, shirika hilo linatoa msaada wa kisaikolojia na kiafya kwa wanawake mathalani.

( SAUTI DOROLOZA)

Kwa upande wake mwakilishi wa serikali ya DRC kutoka wizara ya jinsia nchini humo Faida Mwangilwa anasema

( SAUTI FAIDA)