Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mgogoro wa Libya ni bahari ya kina kirefu lakini tutavuka: Kikwete

Mgogoro wa Libya ni bahari ya kina kirefu lakini tutavuka: Kikwete

Mjumbe maalum wa Muungano wa Afrika kwenye mzozo wa Libya, Jakaya Kikwete amesema licha ya kwamba mgogoro wa kisiasa nchini humo ni suala zito akifananisha na kina kirefu cha bahari, amesema kuna matumaini ya suluhu kupatikana.

Katika  mahojiano na idhaa hii kwa njia ya simu akiwa nchini Tunisia, kuhudhuria mkutano wa nane wa nchi majirani wa Libya,  Kikwete ambaye pia ni Rais mstaafu wa Tanzania ameimbia idhaa hii kuwa ameanza jukumu hilo na katika hatua za awali anachofanya ni.

(SAUTI KIKWETE)

Kikwete ameonyesha matumaini ya kufikiwa kwa suluhu licha ya mgawanyiko kwa taifa hilo.

( SAUTI KIKWETE)