Uhaba wa maji Tanzania na harakati za kukwamua

22 Machi 2016

Maji, maji, maji! Hiki ni kilio cha wengi hususani barani Afrika. Leo dunia ikiadhimisha siku ya maji, nchini Tanzania upatikanaji  wa maji ni changamoto kubwa hususani katika baadhi ya maeneo mkoani Kagera. Baadhi ya vijana kwao ni fursa ya kujipatia kipato. Kulikoni? Ungana na Tumaini Anatory wa redio washirika Karagwe Fm ya Kagera Tanzania katika makala itakayokupa undani kuhusu kadhia hiyo ya upatikanaji wa maji.

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter