Skip to main content

Wanawake na Wasichana wenye ulemavu hawatoachwa nyuma na SDG's-Kenya

Wanawake na Wasichana wenye ulemavu hawatoachwa nyuma na SDG's-Kenya

Mkutano wa 60 wa Wanawake CSW60 ukiingia wiki ya pili hapa jijini New York, Marekani, Kamisheni ya Kitaifa ya Usawa wa Jinsia nchini Kenya imesema inahakikisha sera zinazoundwa kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu zinajumuisha wanawake na wasichana wenye ulemavu.

Dkt. Florence Wachira, Kamishna anaewakilisha Kamisheni hiyo ameileza idhaa kuwa hatua hiyo ni muhimu kwa kuwa ajenda 2030 inayogusa kundi hilo ambayo ni....

(Florence Cut 1)

Dkt. Wachira akaeleza atakachorejea nacho nyumbani....

(Florence Cut 2)